| kuhusu sisi |
|
|
|
|
Asasi ya Maendeleo ya Vijana [Tanzania Development Forum for Youth] ni taasisi isiyokuwa ya kiserikali, isiyofanya shughuli zake kwa faida, isiyofungamana na chama chochote cha kisiasa, na ni taasisi inayongozwa na vijana. Asasi ya maendeleo ya vijana imeanzishwa mwaka wa 2005 na kusajiliwa Februari mwaka wa 2006 chini ya sheria ya taasisi zisizokuwa za kiserikali ya mwaka 2002 ikiwa na namba ya usajili No.00NGO/0643. Kama taasisi iliyosajiliwa, Asasi ya Maendeleo ya Vijana imepewa mamlaka ya kufanya kazi katika taasisi zisizokuwa za kiserikali ikiwa na madhumini ya kuendeleza vipaji na kuwawezesha vijana kutumia fursa mabalimbali ambazo zimewazunguka kupitia uelimishaji rika pamoja na mafunzo mbalimbali.
Asasi ya maendeleo ya vijana inafanya kazi katika ngazi ya kitaifa. Asasi ya maendeleo ya vijana ina malengo manne ikiwa ni pamoja na kuwaletea vijana maendeleo na demokrasia kwa;
|

Kuhusu Sisi 

